Umuhimu wa mchuzi wa jogoo katika uchumba Rwanda



Nchini Rwanda mchuzi wa jogoo, una umuhimu sana katika masuala ya uchumba.

Katika eneo la Nyamasheke, ni kama ibada kwa kila familia kuandaa mchuzi wa jogoo wakati wa kumkaribisha mchumba, wa binti wao nyumbani.

Kukosa kitoweo hiki huenda kukafanya wasichana wako wakakosa waume. Mila hii sasa imeanza kuvutia hisia tofauti kutokana na mabadiliko ya maisha na utandawazi.

BBC