Utafiti: Muda ambao Vijana hutumia kuangalia Simu zao



Zaidi ya vijana asilimia 45,hutizama simu zao wapokuwa vitandani ,hayo ni kulingana na shirika la Digital Awareness la Uingereza,limesema kijana mmoja kati ya kumi wamekiri kuangalia simu zao aghalau mara kumi kwa usiku mmoja. Je wewe hutizama simu yako ya mkononi mara ngapi nyakati za usiku? Tuwasiliane

BBC