Boniface Jacob (CHADEMA) ameshinda Umeya wa Manispaa ya Ubungo

Diwani wa Kata ya Ubungo, Boniface Jacob(CHADEMA) ameshinda Umeya wa Manispaa ya Ubungo kwa kura 16 katika uchaguzi uliofanyika leo. - Amepata jumla ya kura 16 za UKAWA na kura 2 CCM huku Naibu Meya akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3.