INSTA AWARDS: Maneno ya Wema Sepetu Baada kushinda Tuzo Mbili za Insta Awards

Siku ya Jumamosi tarehe 26 kulikuwa na Utoaji wa Tuzo za INSTA AWARDS katika fukwe ya Escape One. Tuzo hizo zilihusishwa Vipengele zaidi ya 30 kwa watumiaji wa Mtandao wa Instagram na Kushirikisha watu na Makampuni tofauti ambayo ni watumiaji wa Mtandao huo.

Wema Sepetu


Wema Sepetu alikuwa Miongoni wa waliochaguliwa kushindani Tuzo hizo na Kushinda Tuzo Mbili ambazo ni Most Infuluantial Star na Most like Bongo Movie Star. Baada ya Kupata Tuzo hizo Wema aliandika ujumbe wa Kushukuru kwa mashabiki zake.

Alichoandika Wema You Guys are The Best... Isingekuwa Mapenzi yenu Makubwa Makubwa, tusingezipata hizi... I must say Iam truly Grateful for Your Love... Thank you Guys sooooo Much.... Lets keep them Votes Going... Nawapenda sana.... ðŸ’‹ðŸ’‹ðŸ’‹  -  

Tuzo alizoshinda Wema