MORORO: Mwonekano wa Hamisa Mobetto katika Tuzo za INSTA AWARDS

Hamissa Mobetto Jumamosi alisha Tuzo ya Best Modal katika Tuzo zilizotolewa kwa Watmuaji wa Mtandao wa Instagram. Na kuvuta hisia kwa Mashabiki wengi na wasanii wa Tanzania.