NIKKI WA PILI: Aelezea Sababu za Wahitimu kufeli Interview za Kazi

Kumekuwa na Wimbi kubwa la Vijana kukosa Ajira na sababu zikiwa kwamba Ajira ni chache, kumbe hata wahitimu wenyewe wanafanya ,makosa katika usahili (Interview) na Kupelekea kukosa ajira.



Nikki wa Pili  kutoka kundi la Weusi anaelezea sababu za baadhi ya Wahitimu kushindwa kufanya vizuri kwenye Usahili, @nikkwapili  -  Labda tunafeli interviews za kazi kwakuwa tunatumia muda mwingi kuchunguza.jamaa wanalipaje....badala ya kuchunguza jamaa wanachangamoto gani, wana kabiliwa na ushindani gani na wewe unawezaje kwenda na solution ya matatizo yao......tuna chunguza wafanya kazi wao wana hali gani bila kuchunguza jamaa wana utamaduni upi wana fikiri vipi na wewe unawezaje kuingia kwa fikra na utamaduni wao wakuone kama mwenzao.........tunafikiri sana mafanikio yetu kimaisha na kusahau kuwa makampuni nayo kutafuta mafanikio ndio lengo lao kuu.......Morning world