Rosse Ndauka : Soko la Filamu halijashuka

Msanii wa Filamu Rosse Ndauka kakataa kuhusu kushuka kwa Soko la Filamu alipokuwa anahojiwa na Radio Efm katika kipindi cha Uhondo

"Wanaosema soko la Filamu limeshuka siwaungi mkono" “Ndoa ni makubaliano ya watu wawili, tusiwatazame tu bongo movie hata kwenye jamii ya watu wa kawaida ndoa hazidumu zinavunjika”