Afande sele Amemtaja Anayefaa Kuwa Mfalme wa Rhymes

Kumekuwa na Ubishani ni nani mrithi wa mfalme wa Rhymes baada ya Afande Sele baada ya Shindano hilo kutofanyika kwa muda mrefu. Afanse Sele amewataja ambao wanaweza kurithi mikoba hiyo.



@afandeseleking amewataja @roma2030 , @darassacmg , @kalajeremiah , @Staminashorwebwenzi kuwa ndio wana hadhi ya kuwa Wafalme wa Rhymes badala yake lakini pia amewashauri wasanii wanaolalamika wanabaniwa wabadilike kwa kuwa redio zinaendeshwa kibiashara. Una lipi la kushea nasi kwenye haya kupitia Kipindi cha #Ladha3600