Nisha |
Leo Kijana huyu amehusishwa na Ujauzito wa Nisha Bee na Kusababisha Jamaa huyo kutoa Ujumbe kwenye Mtandao na Nisha naye kuandika pia kuhusu jamaa huyo kama kweli anahusika.
Alichoandika mwanaume anayehusishwa na Mimba ya Nisha Nimenyamaza sana nimeona bora niseme' mana imezidi sasa.. kwa wote wanaopost upuuzi kwenye page zao wakae wakijua mimi hiyo mimba siijui na wala siifaham!! Mumeyamaliza kwa ney wa mitego @naytrueboy sasa naona munahamia kwangu .. Nawaombeni sana munielewe, wale muliokuwa munaandika na kusema kuwa huyo kiumbe ana mimba yangu nieleweni huyo mtu mimi namfahamu tu na sijui hata watu wanabaka vipi na sijui mimba ni ya nani na sijui amebakwa na nani.. Sasa endeleeni kuandika ujinga niongee nsiyotakiwa kuyaongea .. F*CK'
Majibu ya Nisha - WATUNGAJI BABA MPOOOOOOO?????? KESHO NAOMBA MUMTAJE JAY Z MUNIONGEZEE WATEJA WA BOSS BABES MIE sijui Niende kwa baba K nikaongeze mguu nishaanza kuielewa colabo yetu safari hii nabaka mimiiii tatizo yuko.......... nisimalize uhondo