Barakahtheprince adai kuwa Stanbakora anajichubua



Maneno ya Barakahtheprince Caro light  caro light mungu anakuona kuwafanya vijana wetu kama mabinti.....naipenda sana #Africanyeusi inapendeza sana.ila  mr caro light anataka kuibomoa ðŸ˜‚😂😂😂😂😂 #Nisamehe link kwa bio yangu hapo juu  na #Nisamehe cover kwa  bio ya mr @stanbakora hahaha nawapenda sana watu wa mungu... Sisi uku atufake kabisaa 
#Nisamehe