Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha uvumi wa kutenguliwa uteuzi



Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha uvumi wa kutenguliwa uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. Leo Oktoba 19, 2016 imesambaa taarifa ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.