SHILOLE KIUNO AFUNGUKA KUHUSU PENZI LA MSANII LINAH


Ni katika mtandao wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata mshipa wa aibu kwa muda na kuamua kuposti picha inayomuonyesha akila busu kali kutoka kwa mpenzi wake mpya.

Baada ya Linah kupost picha ya mpenzi wake mpya, Shilole akatupia bonge la comment ...ichek hapo chini