It does not matter at all, The previous relationships, maudhi ya zamani, mapito uliyopitia ni sehemu ya maisha, Put all the garbages into the dustbin n focus in your new life!! Maisha yapo hivyo!! Ili jambo zuri zaidi lije, lazima ulilonalo ambalo wewe unaliona zuri liharibike!! Bila kutarajia utaumia na kujiuliza why is this happening to me??!
You can cry it loud na masononeko kumbe mungu mbele kakuandalia zuri zaidi litakalo kupa furaha na amani ya moyo! hakuna japo jema kama peace of heart n mind, peace of mind n heart...! i repeated! Hakuna kiasi cha pesa kinachoweza inunua amani ya moyo na akili hakunaga dunia nzima!! We all need that, Unaweza kujiona unamkosi kumbe its just a matter of time! TIME is the real Doctor who can cure all the diseases hata yale magonjwa sugu!! Tena hakuna muda mzuri kama muda wa Mungu! God's timing is always the healing Doctor!! Napenda maamuzi ya mungu yanayojua kesho zetu na furaha za mioyo yetu🏻🏻
Kama unaona apo ulipo hapakufai kaa tuliza kichwa, tafakari muombe mungu akupe mtu wa kukupa furaha kwenye Ndoa yako, mahusiano yako, Uchumba wako, hayo mambo ni magumu sana na hayaendagi bila mkono wa bwana kukushika kisawasawa na kukuelekeza wapi panafaaa! Our God is only Substance that exists, he will never let you fall....atakwambia mwanangu Nyanyuka, futa vumbi, futa machozi Lets Go... Kama unaamini mungu anaweza kukurudishia furaha yako iliyopotea muda mrefu na kukuweka sawa na kukupatia mtu ambaye atakupa furaha tena type Amen na nikutakie jioni njema🏻 #LetLoveLead With God's super Power
Mwandishi: