Awekewa Madawa ya kulevya, na kuibiwa kila kitu akiwa Kwenye Basi



Hizi story zimekuwa zikijirudia mara kwa mara za watu kupewa vitu vya kula na watu wasiowafahamu kwenye mabasi kumbe huwa wameweka madawa ya kulevya, na kuibiwa kila kitu. Hii imemtokea bwana Ibrahim Mkwawa, maeneo ya Chalinze akitokea Dar kwenda Dodoma, ndani ya basi alikaa siti moja na abiria mwingine katika kupiga stori akamkaribisha juice kumbe ilikuwa na madawa ya kulevya akaibiwa shs mill moja. Bw. Mkwawa amelazwa kwenye hospitali ya mkoa wa Morogoro, mkewe aitwaye Francisca anaelezea mkasa mzima uliomkuta mumewe kwenye