Millard Ayo ameandika haya baada ya kupata Tuzo kupitia mtandao wake Ni vitu vingi vimenipa furaha leo lakini hii ya ushindi wa tuzo ya YouTUBE AFRICA iliyotolewa South Africa kwakweli ni number moja, namshukuru Mungu sana kwa kuniwezesha kutunukiwa tuzo hii na mtandao wa YOUTUBE, kuwa miongoni mwa Vijana 10 AFRICA waliotajwa kutumia Mtandao wa YOUTUBE vizuri kwakweli ni jambo la kumshukuru Mungu nikiwa ni Mwandishi/media pekee kutoka Tanzania, Watanzania tukiwa wawili mimi na @DiamondPlatnumz Asante kwa kila anaetembelea YouTube ya #millardayo maana wewe ndio uliechangia mimi kufikisha zaidi ya VIEWS MILIONI MIA MOJA! nimeshinda tuzo kwenye kipengele cha NEWS AND POLITICS. by @olorisupergal thanks pia kwa my team #TZA
Home » Sanaa
» Millard Ayo awashukuru Watanzania baada ya Ushindi wa News and Politics You Tube Africa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)