Msanii Ommy Dimpoz ambaye amewahi kutamba na Nyimbo kama "Nai nai" na nyingi nyingi amesema kuwa Alikiba ni msanii ambaye hata akihitaji kufanya naye kollabo hapati shida. Vile vile Alikiba amekuwa msaada kwa kuwa anamshauri mambo mengi. Ommy Dimpoz anasema kuwa hata Kollabo yao ya "Nai nai" Alikiba hakumchaji hata shilingi mia alisema hayo alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa Times Fm Lilommy
|
Alikiba na Ommy Dimpoz |
Nukuu ya maneno ya Ommy Dimpoz 'Sijui kuhusu watu wengine lakini Ali @officialalikiba hajawahi nisumbua ninapotaka 'kolabo' nae, amekuwa akinishauri mambo mengi hata kabla ya 'Nainai' na hakunichaji hata 100 nilipomshirikisha kwenye 'Nainai' @ommydimpoz
Akihojiwa na @lilommy