Ommy Dimpoz ambaye anafanya vizuri na Wimbo wake wa KAJIAANDAE Jana katikaa Kipindi cha XXL alizungumzia kuhusu tabia za Wamama kupenda Vijana wadogo.
Alichasema Ommy "Na mama zetu wanavyopenda vijana kwa sasa, We endelea kusema unanipumulia siku utanikuta natoka chumbani kwa mama yako na taulo, ukashangaa huyu ninayempumulia kumbe ndio baba nadhani hapo heshima ita kuwepo"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)