Video ya Wema Sepetu na Mpenzi wake Mpya Calisah ni hatari

Kumekuwa na tetesi za Wema Sepetu kuwa katika Mahusiano na Mpenzi mpya Calisah. Ila pande zote wamekuwa wakikanusha taarifa hizo, Ila siri imevyja baada ya kusambaa kwa picha na video zikionyesha wakiwa pamoja faragha. Hii inadhihirisha kuwa Wema na Idrissa mapenzi hakuna pamoja na wawili hao siku za hivi karibu ni kupostiana Instagram ili kuombeana kura kwenye Tuzo za Uganda.



Bonyeza link hii hapa Kutazama balaa la Wema Sepetu na Calisah https://youtu.be/btkHgBfg-48