Alichokiandika Nikki wa Pili kuhusu Bomoa bomoa Nyumba Magole

Siku za hivi Karibuni kumekuwa na Bomoa bomoa kwenye Makazi ya watu kwa lengo la kutengeneza makazi bora na kuwahamisha wananchi.

Nikki wa Pili


Nikki wa Pili akayatoa ya moyoni kuhusu Mpango huo wa Bomoa bomoa Huu ubomoaji wa nyumba magole...kwanini unaambatana na vilio nyumba 500 inasemekana......kubomoa nyumba za watu maskini bila kuwa na plan ambayo iko tayari....ni kulimuvuzisha tatizo around....yani pale halitaonekana....lakini lipo pale pale limehamishwa.....pia ujenzi wa makazi ya kisasa ambao wakazi wake watakuwa sio wale walio kuwapo hapo awali una maana gani...?