Alichoongea MC Pilipili kuhusu uhusiano wake wa Kimapenzi na Rosse Ndauka

Mchekeshaji na MC wa shughuli mbalimbali hapa mjini Mcpilpili ameweka wazi leo uhusiano wake wa kimapenzi na mwanadada kutoka bongo movie Rosendauka. Mc pilipili na Rosse Ndauka wamekuwa kwenye ukaribu wa muda mrefu na matukio ya tofauti ambayo yamekuwa na viashiria vya Mahusiano kati yao, japo hawakuwahi kuyaweka tayai.


Rosse Ndauka


Mchekeshaji huyo amesikika muda mchache uliopita kwenye kipindi cha The playlist pale alipokuwa akijibu maswali ya NDIO au HAPANA, Unadate na @rossendauka ? lilikuwa swali la mtangazaji (@lilommy) wa @timesfmtz na jibu lilikuwa "NDIO" ya kigugumizi kutoka kwa @mcpilipili