Yusuph Manji |
Pamoja na kutoa vitu vyake ndani ya jengo hilo amepewa muda wa siku 14 awe amelipa deni hilo na kama atashindwa kulipa mali zake zitakamatwa na kuuzwa.
Uamuzi wa kuzihamisha kwa nguvu kampuni hizo kutoka kwenye jengo hilo mali ya Mfuko wa Pesheni wa Watumishi wa Umma – PSPF ulikuja baada ya mhusika kushindwa kuhama kwa hiari kama alivyotakiwa baada ya kupewa saa 24 na wamiliki wake.