Povu la Wema Sepetu baada ya Diamond kupata Mtoto wa Pili

Wema Sepetu
Baadhi ya Mashabiki wamekuwa wakimtolea maneno ya Kuudhi Wema Sepetu ambaye amewahi kuwa na uhusiano na msanii Diamond bila kufanikiwa kupata mtoto. Tukio limetokea jana baada ya Mke wa Diamond kufanikiwa kujifungua mtoto wa pili wa Kiume.



Wema Sepetu kaandika haya kwa wale ambao wanamkejeli Did I say Gnyt...? Well maybe Not... #MyObsession @mccluretwins @mccluretwins @mccluretwins @mccluretwins ... Oh and By the way, hivi mtu ukizaa haufi eeh...? Au...? Cuz I think Im missing something... Nauliza jamani... Binaadam, Waliozaa huwa hawafi jamani.... Au...? Na wasiozaa hawafai katika jamii... Na kingine pia, Nilokosa mtoto au watoto katika Duniya hii ni mimi tu wa kuitwa Wema Sepetu au...??? Mbona mwanikalia Rohoni.... Ndio mtoto namtaka, tena Saaaana ila jamani kama Mungu kanipangia nitakuwa nae or nitakuwa nao, na kama hajanipangia pia ntasema Alhamdulillah.... Kutotoa kwa watu wengine kusiwe pigo kwangu.... Na mniwache.... Akha...!!!! 😒😒😒