Mrembo Tunda Kazungumzia Kuhusu Mimba Yake

Tunda ambaye kwa sasa amerudiana na Mpenzi wake wa Zamani Young D na Kuzua Gumzo katika Mitandao ya Kijamii. Mrembo huyo amezidi kuzua mijadala katika Mitandao Kijamii kuhsu kuonekana akiwa katika Mwonekano wa Ujauzitoa.

Tunda
Na yeye Tunda kajibu hili kuhusu Tuhuma za kuwa na Ujauzito ambazo taarifa zake zimesambaa katika Mitandao. Eti hii mimba inayosemekana ni mimba eti ni ya nani😳inawezekana mtu akawa ana mimba halafu hajui kama anamimba wala hajui mwenye nayo!...Nisaidieni mnaojua na mliozungushia viduara kwenye hizo picha!..

Picha inayosambaa na kuhusisha kuwa Tunda Ni Mjamzito