Rosse Ndauka kazungumzia kuhusu Kutumia Mtandao wa Facebook

Matapeli wamekuwa wakitumia Mitandao ya Kijamii kwa majina ya wasanii na kuwatapeli watu pesa kwa njia tofauti kama kwa kuuza bidhaa na njia tofauti. Muigizaji Rosse ndauka wametumia jina lake na kufungua akaunti Facebook na kuwadanganya watu kuwa wanauza bidhaa na mwishowe kuwatapeli.

Rosse ndauka


Rosse Ndauka kazungumzia kuhusu kumiliki akaunti Facebook Kwanza poleni wote waliotapeliwa na huyu anaejiita Rose Ndauka kupitia mtandao wa facebook,situmii facebook na wala sina bidhaa ninazouza kiaminike kile ninachandika kupitia hapa marafiki zangu....