AJALI YA GARI YAUA 3 SINGIDA ASUBUHI YA LEO

Mkoani Singida Watu watatu wamefariki dunia na wengine 6 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wamepanda la kampuni ya Mohammed Trans kupata ajali mapema leo.

Aidha, inadaiwa kuwa basi hilo liliwabeba waalimu waliokuwa wamelikodi kutoka Mkoani Tanga.