Alikiba kwenye TOUR nyingine Ulaya (Europe)

Baada ya Alikiba kupost kuhusu TOUR ya Afrika Kusini, TOUR ya USA sasa Alikiba kufanya TOUR nyingine Ulaya (Europe) ambayo ataifanya Julai hadi Agosti mwaka 20017

Europe !! see you in July - August where we start with Belgium on the 8th of July 2017!! KING KIBA LIVE ON TOUR IN EUROPE JULY - AUGUST 2017!! Contact Exclusive Agent Chivazz Ceebor-g on + 33 7 62 23 64 24 for additional bookings and interviews in Europe #MTVEMABestAfricanAct #AlikibaEUROPETour2K17 #KingKibaWorldTour2K17 #KingKiba