MTANZANIA AIBUKA NA MEDANI YA DHAHABU MUMBAI MARATHON

Mtanzania Alphonce Feilix Simbu jana alifanikiwa kushinda medali ya dhahabu kwenye mashindano makubwa ya riadha ya Mumbai Marathon.

Mkimbiaji huyo chipukizi alitumia saa 2:09:32 kukimbia mbio nzima. Felix pia alishiriki mashindano ya Olympic mwaka jana alishika nafasi ya 5 katika michuano ya Olympic.