NAY WA MITEGO KASEMA HAKUNA MSANII WA KUMFANANISHA NA ALIKIBA KATIKA SUALA LA KUIMBA

#NaywaMitego👉 “Wasanii ni wengi, me mmoja kati ya wasanii ambao nawaelewa sana kwenye suala la uimbaji ni pamoja na Alikiba, Alikiba ni muimbaji mzuri sana, nafikiriaga mtu wa kumuweka karibu nae simpatagi.” Alisema .