BARAKAHDAPRINCE AMETHIBITISHA KUFANYA WIMBO NA #ROMA

BarakahDaPrince amethibitisha kuwa kuna wimbo tayari ameshafanya ROMA ......amefunguka hilo kwenye moja ya picha aliyoiweka kupitia mtandao wa Instagram ameandika #BarakaDaPrince👉"Mungu anamakusudi yake,naamini atasimamia.#Tanzania mpo tayari kwa ku /download