MWAKYEMBE NA NAPE NNAUYE USO KWA USO UWANJA WA TAIFA LEO

Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akifurahi na Mbunge wa Mtama, Mh Nape Nnauye walipokuwa Uwanja wa Taifa leo na kushuhudia #TaifaStars ikishinda 2 - 0 dhidi ya #Botswana. . . #ProudlyTanzanian #Tanzania

#socialmediahabari