NAY WA MITEGO AKAMATWA NA POLISI

Msanii Nay wa Mitego ameandika kwenye Instagram kuwa amekamatwa na Polisi Morogoro

Nimekamatwa kweli. Muda Huu nikiwa hotel Morogoro baada ya kumaliza Kazi yangu iliyo ni leta. Napelekwa Mvomelo Police. Nawapenda Watanzania wote. ✊🏿✊🏿 #Truth #Wapo
#socialmediahabari