MASANJA MKANDAMIZAJI KAFANIKIWA KUMSHAWISHI BARAKAHDAPRINCE JAMBO HILI

Muimbaji wa muziki Barakah The Prince amedai kwa sasa ameamua kuingia kwenye biashara ya kilimo ili kuwa na kipato nje ya muziki. Barakah amedai nje ya muziki ameamua kijikita kwenye kilimo cha mboga mboga. . . .

“Nina shamba Morogoro na Tarime,Tarime nimelima Matikiti maji na Morogoro nimelima Vitunguu ,Kabichi na Mboga Mboga , bado sijaanza kuvuna ni shanba ambalo nimelikodisha kama miezi miwili hadi sasa ,Masanja ndio alinishawishi kuingia katika masuala ya kilimo.” alisema @barakahtheprince_. #socialmediahabari