BARAKA THE PRINCE ASEMA MPENZI WAKE NAJ HANA KASORO

Msanii Baraka The Prince ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Acha niende' amefunguka na kusema yeye ameridhika na Najma kwa kila kitu na kusema hawezi kuwa katika maisha ya mapenzi na mtu ambaye anakasoro

@Barakahtheprince_ alisema kupitia Planet Bongo ya EA Radio kuwa kwa @Najdattani haoni kasoro yoyote ile na ndiyo maana aliamua kuwa naye kwani si utamaduni wake kuwa na mtu ambaye ana kasoro.