#JohMakini ilisimama kama jiwe la wiki kwenye XXL , na huku ukiwa unazungumzia wasanii wakali wa HipHop Bongo huwezi kumwacha Joh Makini kutokana na heshima na mafanikio ambayo amejiwekea, Sasa baada ya Bdozen kumuuliza Joh Makini kuhusu wasanii wapya ambao wanafanya vizuri kwa mtazamo wake, Joh Makini alifunguka kwa kumtaja #RosaRee kama moja ya marapper wakali Bongo kama akikaza kwenye game. Kupitia kurasa ya Instagram ya
#RosaRee, aliamua kufunguka kuhusu Coment hiyo ya Joh Makini kwa kusema kwamba👉" I appreciate the love My Brother @johmakinitz …. Nafata ushauri nitazidi Kukazaaa!!!! God bless the hand behind it all @nahreel" .