KAULI TATA ZA NAY WA MITEGO

1. Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua. #Wapo☝🏾️

2. Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.! Mwana Katoa Bokoo😡😡.! #Wapo Link on my Bio.☝🏾️

3. Samaki Mmoja akioza haimaanishi Wote wameoza. Anatolewa aliye oza wengine wanaliwa kama kawaida. Eti tumwage Samaki kisa Mmoja 1 kaoza.? Tule chakula bila mboga.? Aah wapi.! #Wapo Link on my Bio☝🏾️