Kiongozi wa mbio za mwenge mwaka huu ni
, Amour Amad Amour kutoka Kaskazini Unguja visiwani Zanzibar huku akisaidiwa na Bahati Mwaniguta Lugodisha (Geita), Bi Fatima Yunus Hassan (Kusini Pemba), Fredrick Joseph (Singida), Salome Obadia Mwakitalima (Katavi) na Shukran Islam Msumi (Mjini Magharibi).
Kauli mbiu ya mbio hizo kwa mwaka huu inasema, “SHIRIKI KUKUZA UCHUMI WA VIWANDA KWA MAENDELEO YA NCHI YETU.”