Rayvanny na mpenzi wake FAHYMA wapata mtoto

#Rayvanny na mpenzi wake #Fahyma wapata mtoto Taarifa za kupata mtoto zimetolewa na #Rayvanny kupitia Instagram.

#Rayvanny👉 “Hongera @fahyma_ Umekua Mama sasa Acha utoto  NAKUPENDA!!,” ameandika kupitia kurasa yake insta