IRINGA: Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mkwawa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumtuka Raisi Magufuli

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mkwawa, Kitivo cha Elimu (MUCE) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya kumtukana Rais Magufuli katika mtandao wa WhatsApp

















Mhadhiri huyo (48) alikamatwa Mkoani Rukwa na kusafirishwa mpaka Iringa kwa hatua za kisheria.Hii ni mwendelezo wa Matukio kadhaa ya baadhi ya wananchi kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa kumtukana Raisi Magufuli.

Tuwe makini tunapotumia mitandao ya Kijamii na kutotumia lugha za kuudhi kwa watu wengine.