Alichokiandka Kitale kuhusu Wasanii kuoneana Wivu pale mwingine anapofanya vizuri

Na hii inatokana na Baadhi wa wasanii kutokuwa na maelewano hasa pale msanii mwenzio anapofanya vizuri kwenye sanaa. Ila Kitale anasema siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa ubunifu na juhudi za kutosha na sio kuoneana wivu.















Haya ndiyo aliyoyaandika kwenye Mtandao wa Instagram $$$$$$@mkudesimbaoriginal  -  SAnaa ya Bongo Msanii ukifanya vizuri SaNaaaaaa Wasanii wenzako Wanakuchukia Tena Wanakuundia Tume kabisa Utasikia Mchawi Yule kila Siku Anatusua yy Mkienda Sehemu Anaonekana Yy tu Ukirudi utazame Kazi zao kila Siku wanajaribu.......tufanyeni kazi
Mungu ni wa Kwetu sote Mungu Sio
wa KITALE wala GABO.
SIRI YA MAFANIKIO NI KUJITUMA
#IJUMAKAREEM