Usifananishe mafanikio yako na ya mtu mwingine utakufuru kwasababu Mwenyezi Mungu humpa kila mtu riziki yake kwa muda wake muafaka. Kwa kidogo ulichonacho sema ALHAMDULILLAH. ..Thanks my wifi @cheeksfashionkinondoni @cheeksfashionkinondoni kwa gauni. ...IJUMAA KAREEM