Mamlaka ya Bahari Kuu imeanza doria kwa njia ya anga kuzisaka meli

 Mamlaka ya Bahari Kuu imeanza doria kwa njia ya anga kuzisaka meli zinazovua na kuvuka mpaka katika bahari ya Hindi bila ya leseni.


Zoezi hilo limeanzia Zanzibar ambapo ndipo kwenye makao makuu ya mamlaka hiyo, limeshirikisha maofisa waandamizi wa vikosi vya baharini vya JWTZ, KMKM na polisi.