Rekodi za Manchester United Kali ambazo Leicester hawajazifikia

ManUtd wamefanikiwa kufunga katika mechi 14 zilizopita vs Leicester City katika Barclays Premier League - wamefunga jumla ya magoli 33.


















Katika mechi 4 zilizopita alizoichezea Leicester vs Man United, Jamie Vardy amefunga katika mechi 3 kati ya hizo. Leo ataongoza mashambulizi ya Leicester vs De Gea, ataweka tena?? Mtanange ni saa 8:30 unusu mchana huu.  

















ManUtd wamepoteza mechi moja tu ya nyumbani katika mechi 20 dhidi ya Leicester City, walifungwa 1-0 mwaka 1998. 
Je Leicester leo watarudia walichokifanya miaka 18 iliyopita.