Maneno Mazito ya Barakahtheprince kwa Mpenzi wake Najma

Barakahtheprince ambaye anatamba na nyimbo yake ya Nisamehe ambayo amemshirikisha Alikiba maarufu kama KingKiba waliyoiachia Mwezi huu. Barakahtheprince ameandika ujumbe huo katika Mtandao wa Instagram ukiwa umemlenga mpenzi wake Najma.

























Maneno ya Barakahtheprince kwa mpenzi wake%%%%%Najua unajua vile nakupenda mke wangu..umekuwa ukinimbeleza na kunipa faraja mara nyingi napokutana na vikwazo mbele yangu,umekuwa ukinitia nguvu pindi tu napokata tamaa ya mapambano" ya kimaisha.. Umekuwa mwenye busara na kunifunza uvumilivu hata kama mtu akinidharau...umenibadilisha sana na mengi katika maisha yangu..umevumilia vingi  sana na maneno mengi ila ulifumba macho.. Kweli wewe ni wakipekee sana kwangu.. @najdattani jua Nakupenda wangu..usiku mwema watu wa Mungu #Nisamehe link kwa bio yangu hapo juu