Ndege ya pili mpya ya Bombadier Q400 ya ATCL imewasili

Ndege ya pili mpya ya Bombadier Q400 ya ATCL imewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) ikitokea nchini Canada

.
Kesho zote mbili kupokelewa rasmi na Rais Magufuli.