Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Bomba la kusafirisha Mafuta kukamilika ifikapo 2020 kutoka Uganda hadi Tanga



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ujenzi wa Bomba la kusafirisha Mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka bandari ya Tanga utakamilika mwaka 2020.

Bomba hilo litakuwa linapitisha takribani mapipa 200,000 kwa siku