Mpango na ndoto za Yusuf Manji kuichukua Yanga waanza kutimia



Kuelekea kumkabiri Mnyama SIMBA hapo kesho, zipo taarifa za  Boss wa klabu ya YANGA Yusuf Manji kusaini mkataba na  Bodi ya Wadhamini wa klabu hiyo. Kwa mpango huo ni wazi kuwa ndoto za Yusuf Manji za kukodi Klabu ya Yanga kwa miaka 10  zitakuwa zimekamilika.