Chama cha Walimu(CWT) chamtuhumu Mkurugenzi wa Jiji kupika takwimu za wanafunzi hewa



MWANZA: Chama cha Walimu(CWT) chamtuhumu Mkurugenzi wa Jiji kupika takwimu za wanafunzi hewa na kupelekea walimu 62 kufukuzwa kazi. Mkuu wa Mkoa, John Mongella amesema ameunda kamati maalum ya kuchunguza tuhuma hizo. Walimu hao waliofukuzwa walikuwa wanatokea katika Wilaya ya Nyamagana.