CRDB bank imepata hasara ya Sh Billion 2 katika hesabu zake za robo mwaka



Bank kubwa Tanzania CRDB bank imepata hasara ya Sh Billion 2 katika hesabu zake za robo mwaka (Quarterly Financial Statements) Suala limenistua sana baada ya kuona Twiga Bancorc ilikua insolvent/ ilifilisika hivi karibuni.
Wajuzi wa mambo naomba mtujuze hii private bank (CRDB) wame conceal profit to avoid Tax liability au kweli wame incur loss naomba TRA walifatilie hili huenda CRDB wame conceal profit for the quarter.

Taarifa za fedha zinaonesha kuwa mikopo mingi haijalipwa (underperforming Loans) lakini pia CRDB walikua wana accumulated tax/deni la kodi la muda mrefu.

Mwaka 2015 in 3rd quarter kama hii walipata faida ya Sh. 37.9 Billion after statutory deduction/Tax and Interests!
Banking and Financial Institution Act ya (2006) Section 32(3) inazitaka Taasisi hizo kuandaa taarifa za fedha.