Jeshi la Polisi linawasaka mashabiki waliohusika na uharibifu wa miundombinu katika Uwanja wa Taifa



Jeshi la Polisi linawasaka mashabiki waliohusika na uharibifu wa miundombinu katika Uwanja wa Taifa wakati wa mchezo wa Yanga na Simba.

Lasema kuwa lina mkanda wa video unaoonyesha watu waliohusika na uharibifu huo, wako katika uchunguzi ili kuwakamata watuhumiwa hao na wakishapatikana watachukuliwa hatua za kisheria kwa kuwapeleka mahakamani.