Mama, wanaye wanne wamefariki dunia katika kijiji cha Nyamilanda, Muleba baada ya kula ugali unaosadikiwa kuwa na sumu.
Mama huyo inadaiwa kuwa alipika Dagaa kisha akaenda kwa Mama Mkwe wake alikopewa unga wa muhogo
Mtandao Wa Habari Za Uhakika